Stupid question. Ni wangapi kuzaliwa duniani, Tanzania au kwa mama yako? Hivi mama yako amezaa halaiki kiasi cha wewe kushindwa kuhesabu ndugu zako mpaka umuulize mama yako?Hali zenu wakuu. UKITAKA KUMUULIZA MAMA YAKO MI NIWANGAPI KUZALIWA? KWA KiNGEREZA(OR IN ENGLISH) UTASEMAJE?
"How many younger (full) siblings do I have?" nadhani ndo itakaribia zaidi. Full siblings ni brothers and sisters ambao mmezaliwa kwa baba na mama mmoja, so kama kuna complication hiyo unaweza ukaongeza full kuwa more specific.
What is my ordinal position in our family?Hali zenu wakuu. UKITAKA KUMUULIZA MAMA YAKO MI NIWANGAPI KUZALIWA? KWA KiNGEREZA(OR IN ENGLISH) UTASEMAJE?
this is wat i like about JF..... yaaani mtu katoka huko na moshi wake sijui wa bangi aliovuta mwaka gani ndio unaishi ishia anakuja na maswali ya "HAYA MAVI YA KUKU KANYA NANI" ... na kwa kuwa hapa wako GREITI THINKAS" majibu waliyompa starehe tuuuupu.... naona kaka ss utajua kuwa uko mahali ambako ppl they dont intateini makunyanzi. hakyannai hili swali la huyu jamaa limeniacha hoi....hata MR bEaN hawezi kuuliza maswali kama hayo
hali zenu wakuu. Ukitaka kumuuliza mama yako mi niwangapi kuzaliwa? Kwa kingereza(or in english) utasemaje?
Na kwa nini umuulize mama yako hivyo? kwani ana watoto wa nje? ama hamuishi nyumba moja? au wewe ni zezeta hujui kuhesabu?Hapo nimefahamu. Ila nimeuliza co kwa vibaya, kama baadhi ya watu wengine walivyodhani. Mi nimeulizwa, na nikaamua kuwalizia wenzangu wenye elimu zaidi yangu.