Jamani dunia kubwa hii tusizihaki pale mtu anapouliza, kuna wengi tu wamekuwa adopted na wanapokutana na biological parents anakuta tayari ana half siblings. Au mama kazaa na baba zaidi ya mmoja...mimi nadhani kwa hili mwenzetu anataka direct translation ya kiswahili to English ambayo wakati mwingine haiwezekani au ikitafsiliwa haitaleta maana kama atakavyo,.
Translation rahisi nikumuuliza....Am I the oldest or youngest son or daughter in the family? Then mama atakujibu position yako.
Au ukitaka translation wa weza muuliza, Mama, would you mind let me know my birth position with my siblings?...ila hii nadhani haisound vizuri kama hupo in good term na mama yako, ila kama umegombana you can say this way.