In love with a lost photo


Yaani hali hii inatisha... lakini ameambiwa aiweke humu tufanye aidentifikesheni... labda ni mmoja wa waumini wangu...
 

Last week uliokota.....unayo for almost 3 weeks..... Umedanganya hapa....labda uliokota vocha
 
Tuwekee hiyo picha basi tuione kwanza!

Mmmh nikiiweka apa naogopa mtanipora mimi?
Halafu je huyo nliemweka ana privacy zake pia anaweza penda wazo hilo au la afu nkakosa kote!
Nimemwaga vijana chuo hicho,kila anaeingia na kutoka getini anafanyiwa facial recognition and soon ntampata tu and will get back to u guysss!
Kweli mapenzi kitu cha ajabu
 
Last week uliokota.....unayo for almost 3 weeks..... Umedanganya hapa....labda uliokota vocha

Hivi hata kama ni kitu umekiria kichwani kwa nini usikipange kidogo kikaonekana angalau na ukweli flan??
Hadithi ya kusadikika na ina makosa ya dhahiri.
 
kumbe umeona watu wanakuja JF kutest vichwa vya geat thinkers😡
E-W, huyu anakuja tu hapa.....tatizo la baadhi yetu tunakuja na vijihadithi vya kutunga kwa kulinganisha na issue fulani, wakati wa kuandika unakosea....eti nimeokota wiki iliyopita, ninayo wiki 3 (almost).......ubabaishaji tu.....Inawezekana alimuona mtu kampenda sasa anataka ashauriwe how to get him/her.....
 

mi nakuona wewe wa ajabu
 
Jamani that is a typing error but it is for real,wanasemaga shit happens and it is happening now.
Nyie kama hamkubali sawa but ndo hivyo i ve fall for the photo and soon am gonna find the owner.
 
sasa wewe ni 'he' au 'she'???
sijaelewa jinsia yako,labda ningetoa mawazo ufanyeje,
anyway goodluck in ur love search
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…