Blaki Womani
JF-Expert Member
- Feb 28, 2011
- 11,229
- 13,442
Unajua tatizo lake anatudanganya sisi na mwishoni anaishia kujidanganya na yeye mwenyewe!Haiwezekani kupenda watu wawili kwa wakati mmoja na wote ukawapenda sawa kiasi cha kushindwa kuamua. Usiwapotezee muda vijana wa watu na uache sanaa. Penzi la kweli kamwe haligawanyiki.
Nafikiri kuna watu hawajui kupenda ni nini? na kwa bahati mbaya saana huenda hawajawahi penda.WANATAMANI WANADHANI WAMEPENDA!Hii kali
humpendi hata mmoja unawatamani waache watoto wa wenzako
kwanza unataka kuwatumia wote halafu unasema unawapenda sana
Unajua tatizo lake anatudanganya sisi na mwishoni anaishia kujidanganya na yeye mwenyewe!
Sis i miss u so much plz find time to get in touch with me i will luk for u as well take careTake your time to know them better....you will make up your mind in less than two months! all the best....pray!
Ahaa ahaa lolWape kila mmoja then usikilizie. Kama hapo tena wako droo tena...!
habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!

Kheeee kheeee kwahiyo ajaribu threesomeEver heard of threesome?