We unatuzingua,unajifanya umependa wote sasa sisi tukushauri nini?? Kama unawapenda wote basi watumikie wote,atakaekataa utakua umepata wa kubaki nawe.habari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!
you cant have two Christmas in one year-angalia tena na tena uchague mmojahabari wapendwa wanajamvi,
naombeni ushauri maana nipo njiapanda pale nilipojikuta nikiwapenda watu wawili kwa wakati mmoja.sijawa na mahusiano rasmi na yeyote kati yao lakini ni marafiki nilionao karibu na wote wananipenda na wameonesha nia ya kuwa na mimi zaidi ya urafiki.i can't decide who to be with.i have strong feelings for them both na i can see myself spending the rest of my life with both of them.hivi is it possible to fall for two people at the same time???nisaidieni jamani maana i am in dilemma na inaniumiza sana.nimeshindwa kuchagua mmoja sababu nawapenda wote sana!
Hebu acha ngonjera zako na kuleta sanaa kwenye nyumba ya sanaa
Mapenzi yepi unayozungumzia wewe?we hujawahi penda eehhhh..waaache wanaojua mapenziiii