Rev. Kishoka
JF-Expert Member
- Mar 7, 2006
- 4,526
- 1,540
mmeanza kupagawa naona..........
intifada kwenye nchi yetu ya amani na utulivu?????
ili tu mpewe vyeo vya kisiasa????
kwendeni zenu huko............
MM kuna Mwanamama Mwanaharakati (MM) mmoja anatumia neno hili: MAPINDUZI BARIDI!
it sounds like a contradiction in terms..
huyo mama aliidefine vizuri tu - mapinduzi ya moto yanatumia silaha za moto ila mapinduzi ya baridi yanatumia silaha za baridi na yote yanaleta mabadiliko makubwa:
mfano: wafanyakazi wote (wakiwamo hao wasomi waliojitoa) wakigoma unadhani hawataleta mapinduzi baridi?
leo naona Rev kishoka kaamka bila kusali
sisi hatutaki intifada hapa kwetu
mabadiliko yatatokea kwa njia kura na si vita
mmeanza kupagawa naona..........
intifada kwenye nchi yetu ya amani na utulivu?????
ili tu mpewe vyeo vya kisiasa????
kwendeni zenu huko............
Watu wanadhania vitu vizuri vinadondoka kutoka mbinguni kaa miujiza. Pia tatizo sio tu watu wanaishi ktk umaskini wa kutupa, bali pia prospect yenyewe ni bleak, yaani mbele ni kiza kitupu.Peace and harmony to some people like you, majority in Tanzania are living in hell!
leo naona Rev kishoka kaamka bila kusali
sisi hatutaki intifada hapa kwetu
mabadiliko yatatokea kwa njia kura na si vita
Watu wanadhania vitu vizuri vinadondoka kutoka mbinguni kaa miujiza. Pia tatizo sio tu watu wanaishi ktk umaskini wa kutupa, bali pia prospect yenyewe ni bleak, yaani mbele ni kiza kitupu.