Kitaeleweka
JF-Expert Member
- Jul 30, 2012
- 394
- 88
Habari walimu! Nimedownload leo majina ya walimu waliopangwa post mpya 2013 kuna mabadiliko kwani waliokuwa wamekosa mwanzo wamepata ila pia wale inservice wengi nimeona wametolewa kwenye list naona lile tangazo lao wameamua kufanya kazi wenyewe kuwatoa waliopangiwa ajira mpya. Nimechoka hapa nilishaanza safari kwenda kituo kipya ila yanipasa kurudi kijijini kwangu. Mlioathirika poleni na mliopangiwa pia hongereni.
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums