In service waliokua wamepangiwa post mpya majina yamefutwa list mpya imetoka.

Kitaeleweka

JF-Expert Member
Joined
Jul 30, 2012
Posts
394
Reaction score
88
Habari walimu! Nimedownload leo majina ya walimu waliopangwa post mpya 2013 kuna mabadiliko kwani waliokuwa wamekosa mwanzo wamepata ila pia wale inservice wengi nimeona wametolewa kwenye list naona lile tangazo lao wameamua kufanya kazi wenyewe kuwatoa waliopangiwa ajira mpya. Nimechoka hapa nilishaanza safari kwenda kituo kipya ila yanipasa kurudi kijijini kwangu. Mlioathirika poleni na mliopangiwa pia hongereni.


Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
kama uko science nenda tu watakupokea.
 
kama uko science nenda tu watakupokea.

Mkuu mtu karudishwa jana moro nimerudia dar nina ict na geo ila nna jamaa yangu ni physics maths na alipangwa shule kabisa vipi ni uhakika nimshawishi aende?

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…