In the Year 2525: Wimbo wa 1969 Uliotabiri Hatari ya Teknolojia kwa Mwanadamu

Ni kweli
 
Nimesoma kilichoandikwa hapo juu kwenye mada
Kwani wimbo hausemi hivyo?
Ok yaweza kuwa km ulivoelewa japo naamin maana kuu iko ktk ufanisi wa hiyo mikono kushuka kwa kiwango kikubwa .. mfano hata leo hii kumeanza kuonekana idadi fulani ya watu wenye viungo timilifu lakni visivyofanisi vema km ilivo kawaida
 
Binadamu amekuwepo duniani miaka zaidi ya milion 2 halafu aje apotee miaka 10,000 ijayo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…