In uonevu kwa Meneja was Simba

In uonevu kwa Meneja was Simba

Ila suala la soka hapa nchini bora tungeachana nalo halina faida wala hasara.
 
Bao mashabiki wa Simba walikuwa wabnashabikia Uganda na wenyewe wanatikiwa kuadabishwa
 
Hii clabu sasa IMEVIMBIWA fedha za MO hawaheshimu timu ya Taifa wala taasisi inayosimamia soka (TFFU) wamelizua lingine la kualika timu kutoka KENYA kwa kiburi, dharau na makusudi ya hali ya juu bila kufuata taratibu za TFF na FIFA
 
Back
Top Bottom