HPAUL JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 410 Reaction score 567 Sep 10, 2018 #1 Adhabu aliyopewa Meneja wa Simba kuhusiana na wachezaji wa Simba kuchelewa kuripoti Taifa Stars ni uonevu na ni kubwa sana. Kufungiwa mwaka mwaka mmoja pamoja na kulipa faini ya sh milioni 4 ni hasira tu za TFF. BREAKING: MENEJA SIMBA APIGWA RUNGU LA MWAKA MMOJA NA TFF KUJIHUSISHA NA SOKA, FAINI JUU - SALEH JEMBE
Adhabu aliyopewa Meneja wa Simba kuhusiana na wachezaji wa Simba kuchelewa kuripoti Taifa Stars ni uonevu na ni kubwa sana. Kufungiwa mwaka mwaka mmoja pamoja na kulipa faini ya sh milioni 4 ni hasira tu za TFF. BREAKING: MENEJA SIMBA APIGWA RUNGU LA MWAKA MMOJA NA TFF KUJIHUSISHA NA SOKA, FAINI JUU - SALEH JEMBE
Mbao za Mawe JF-Expert Member Joined May 11, 2015 Posts 23,372 Reaction score 54,943 Sep 10, 2018 #2 Ila suala la soka hapa nchini bora tungeachana nalo halina faida wala hasara.
Slim5 JF-Expert Member Joined Jan 7, 2014 Posts 28,203 Reaction score 37,906 Sep 10, 2018 #3 Wasilisha pingamizi tff!
Turnkey JF-Expert Member Joined Jul 9, 2013 Posts 7,359 Reaction score 5,837 Sep 10, 2018 #4 bado Manara..hatutaki watovu wa adabu kwenye soka letu
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,303 Sep 10, 2018 #5 Bao mashabiki wa Simba walikuwa wabnashabikia Uganda na wenyewe wanatikiwa kuadabishwa
Prince Kunta JF-Expert Member Joined Mar 27, 2014 Posts 22,797 Reaction score 28,904 Sep 10, 2018 #6 Hii club majanga tu mashabiki wavunja viti, meneja na wachezaji wake sijui ndo bangi tupu
okaoni JF-Expert Member Joined Jun 25, 2011 Posts 1,471 Reaction score 1,303 Sep 10, 2018 #7 Hii clabu sasa IMEVIMBIWA fedha za MO hawaheshimu timu ya Taifa wala taasisi inayosimamia soka (TFFU) wamelizua lingine la kualika timu kutoka KENYA kwa kiburi, dharau na makusudi ya hali ya juu bila kufuata taratibu za TFF na FIFA
Hii clabu sasa IMEVIMBIWA fedha za MO hawaheshimu timu ya Taifa wala taasisi inayosimamia soka (TFFU) wamelizua lingine la kualika timu kutoka KENYA kwa kiburi, dharau na makusudi ya hali ya juu bila kufuata taratibu za TFF na FIFA