Poppy Hatonn
JF-Expert Member
- Apr 9, 2021
- 3,095
- 4,632
Kwamba ,kwanza mtu anadhaniwa kwamba amekosa, halafu inakuwepo nia,hamu ya kumpeleka mahakamani.
Utawasikia watu Mara nyingi wanasema,"Ningeweza kumfungulia mashtaka,nilimfumania live,lakini sikufanya hivyo."
Kwa hiyo inawezekana kusema kwamba hakuna lazima iwepo kesi ya Mbowe,kwamba ulazima wa kesi ni uamuzi tu?
Kwa sababu naiona katika monastic rules, kwamba kama monk kafanya kosa( and if you desire it) you can indict him.
Ndio jambo linanifikirisha, kwanini mtu amekamatwa red- handed,bado unasema"if you desire it",you can indict him.? Should not the Court appearance be automatic, mechanical?