Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
Hahahaa, kweli hili ni jeshi namba 6 kwa ubora.Wameandaliwa mziki kuja kuchoza iokote.
Sasa unabisha??? Unajua wanaongelea ubora gani?Hahahaa, kweli hili ni jeshi namba 6 kwa ubora.
Hawa wapumbavu huwa wananichekesha sanaTarehe 12 nataka kuona lile gwaride la kupasua matofali kwa kichwa na mazoezi ya kuokoa mateka.
Baada ya hapo wakalale polisi waendelee na doria.
jeshi cha Ai pictureJeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
Comedy murua.Hawa wapumbavu huwa wananichekesha sana
hahahaaajeshi cha Ai picture
Waoga hawa hawapaswi kufunga barabara, kuanzia sasa heshima hiyo watapewa polisi na mgambo wa jiji.Ponjoro on the 1 and 2 katika ubora wako.
Unawasema ndugu zako wazee wa castle lager za chupa jogging wamakwenda saa moja kasoro wanazuia barabara yote ya bahari beach
Jeshi la sungusungu.CDF mkunda jeshi lime mfia mikononi mwake.. limeonekana jeshi la hovyo kabisa
Toka lini CDF anatumia lotion za kike kushindana na wadada wa mjiniCDF mkunda jeshi lime mfia mikononi mwake.. limeonekana jeshi la hovyo kabisa
Tunatamani kuona mawazo yako halisi ukiweka uchawa pembeniJeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
π π πToka lini CDF anatumia lotion za kike kushindana na wadada wa mjini
Si wanadai wanamshikilia mwanajeshi wa Marekani?Jeshi la Tz wanatumia nguvu nyingi akili kisoda!, hata akiibukia Trump dakika 30 nyingi mno mtu washamtia nyavuni.
Hawa takataka wanaotekwa mpaka na Mafwele, wanatumikishwa na Abdul kadri anavyojiskia ndio unawalinganisha na Special operation force bora kabisa duniani???Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045