Acheni ushamba! Hakuna mwanajeshi anayeingia field na mabunduki yote hayo mnazugwa tu hapo na kutishwa baada ya jeshi kuwa tawi la ccm! Watanzania siyo wajinga tena waambieni hao watengeneza script za kijinga hivyo.Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
Ubora wa kivitaSasa unabisha??? Unajua wanaongelea ubora gani?
Mtaishia kuleta kejeli za kitoto humu mtandaoni kwa nia ya kupunguza madonge na hasira.Tarehe 12 nataka kuona lile gwaride la kupasua matofali kwa kichwa na mazoezi ya kuokoa mateka.
Baada ya hapo wakalale polisi waendelee na doria.
Acha utani mkuu. Ungesema labda wako baa wanapiga mvinyo wa 600 hadi 800.Hawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.
Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.
Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
Waliomba wenyewe hiyo kazi hakuna aliyeshurutishwa na wanalipwa mshahara kwa sisi walalaji tuliokuwa mashambani tukiwatafutia mshahara! Mbona sisi madaktari tunakesha na wagojwa wodini ambako kuambukizwa magonjwa na kufariki kabla ya mgonjwa mwenyewe hututetei? Kila mmoja awajibike sehemu aliyoichagua kupata riziki acha kututisha na mipaka kwani wengine humu wanepitia jeshini na hakunaga mwanajeshi anayekesha lindoni.Hawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.
Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.
Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
Angekuwa na akili angejiuzulu, ila kwa sababu ni mpumbavu kapumbazwa na rushwa za mabilioni anazopewa na mama Abdul kaamua kuvumilia dharau na kashifa zote anazotupiwa yeye na jeshi lake.CDF mkunda jeshi lime mfia mikononi mwake.. limeonekana jeshi la hovyo kabisa
Pumbavu wewe mwanajeshi kalale huko polisi wakulinde.Mtaishia kuleta kejeli za kitoto humu mtandaoni kwa nia ya kupunguza madonge na hasira.
Mlikuja na mkwara wa kuandamana tarehe 9D na 25D hata tarehe 1J hamjafanya lolote.
Tunataka kuishi kwa utulivu huu huu hatutaki upumbavu wa machafuko huko mtaani.
Hana akili kabisaAngekuwa na akili angejiuzulu, ila kwa sababu ni mpumbavu kapumbazwa na rushwa za mabilioni anazopewa na mama Abdul kaamua kuvumilia dharau na kashifa zote anazotupiwa yeye na jeshi lake.
Toka nje ulete fujo uone kitu gani kitakupata.Pumbavu wewe mwanajeshi kalale huko polisi wakulinde.
Nimemdufua mwanajeshi mwenzako hana meno kenge kabisa.Toka nje ulete fujo uone kitu gani kitakupata.
Hiv nyie chawa kweli ni watu wazima au watoto wa kidato Cha pili wamefunga shule?Jeshi liko imara Hao Delta Force hawawezi kutia maguu nchi hii wanajua hawatarudi
View attachment 3525045
Nani kakudanganya wanakesha mipakani?Labda useme wanakesha kwenye baa kugombania wanawake walevi wa baaHawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.
Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.
Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
Shibe inadanganya watanzania wengi kama wewe, nenda kule mpakani uone shughuli wanayofanya kiasi cha huku mijini tunalala kwa amani.Nani kakudanganya wanakesha mipakani?Labda useme wanakesha kwenye baa kugombania wanawake walevi wa baa
Hao ndio wanasababisha mapinduzi mengi kwa Sasa , ipi sababu ya madikteta uchawa kufungia mitandao kama hawana madhara?"Keyboard Warriors katika ubora wao"
Endeleeni kujifurahisha kwa uhuru wa humu mitandaoni.Nimemdufua mwanajeshi mwenzako hana meno kenge kabisa.
Gari unaweza kusimamishia hata kwa hand brake ili mradi lisimame.Hao ndio wanasababisha mapinduzi mengi kwa Sasa , ipi sababu ya madikteta uchawa kufungia mitandao kama hawana madhara?
Vita ya kunguru au vita ganiUbora wa kivita