Ina maana JWTZ wamenywea kabisa?🀣

Nafikiri ni wakati sahihi tuone na haya maadhimisho yana hairishwa ili kubalance maana uhuru wa Tanganyika waliuzimisha kwa sababu zisizo kuwa na mashiko.
 
Wanakesha wanauliwa na mbu huku akina chievo na genge lake wanatanua club
 
Acheni ushamba! Hakuna mwanajeshi anayeingia field na mabunduki yote hayo mnazugwa tu hapo na kutishwa baada ya jeshi kuwa tawi la ccm! Watanzania siyo wajinga tena waambieni hao watengeneza script za kijinga hivyo.
Nasikia Delta force waliingia hvyo Venezuela kunyaka Amiri Jeshi.
 
Wanakesha wanauliwa na mbu huku akina chievo na genge lake wanatanua club
Ndio kazi wanayoifanya na lazima tuiheshimu sisi baadhi ambao tunajua wanachokifanya.

Wanakesha wao kwa ajili ya kukoroma kwetu usiku, lazima tuwaheshimu.
 
Ponjoro on the 1 and 2 katika ubora wako.
Unawasema ndugu zako wazee wa castle lager za chupa jogging wamakwenda saa moja kasoro wanazuia barabara yote ya bahari beach
😁😁 Hapo kwenye jogging was necessary!?
 
Hawa wapumbavu huwa wananichekesha sana
Leo mnawaita wapumbavu kwa sababu mlitegemea eti wawaunga mkono katika ule uharibifu wenu mllioufanya tarehe 29/10.Hili ni jeshi linalojitambua na lenye nidhamu toka zama. Nyinyi miichongeshewa akina Tesha wale mkadhani ndio wanajeshi wenyewe. Hamna akili.
 
😁😁 Hapo kwenye jogging was necessary!?
Pole ila inapunguza sana watu kuwahi kazini maana saa moja.kasoro gari zinasimamishwa toka njia panda ya nyuki wazee wana march.

Productivity inapungua sana kupishana njia moja tena iko.matengenezo bado mnasimamishwa hata 60 minutes kupisha jogging.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…