Kama kweli huwa wanakesha basi ni wapumbavu, maana wanakesha for nothing.Ndio kazi wanayoifanya na lazima tuiheshimu sisi baadhi ambao tunajua wanachokifanya.
Wanakesha wao kwa ajili ya kukoroma kwetu usiku, lazima tuwaheshimu.
Labda wa kuvunja matofali kwa kichwa na mbwembwe za kubeba vibegi vilivyojazwa upepo mgongoni..Sasa unabisha??? Unajua wanaongelea ubora gani?
Bila uwepo wa JWTZ nchi hii muda mrefu sana ingekuwa imeshaparaganyika vipande vipande, wenye umri kuanzia miaka 45 kuendelea tumekuwa tukiziona kazi za maana wanazofanya.Kama kweli huwa wanakesha basi ni wapumbavu, maana wanakesha for nothing.
Hakuna wanacholinda labda kuwalinda nyie mafisadi muendelee kuitafuna nchi bila bugudha.
Kwa kitendo chao cha kuruhusu mauaji ya raia wasio na hatia tarehe 29/October-2 November 2025, hili unaloliita jeshi lina kila sababu ya kudharauliwa na wanainchi, maana halina faida yoyote kwetu sisi wanainchi zaidi ya kututia hasara tu kwa kulipwa kodi zetu.
Eti wanakesha wanalinda mipaka, haya ndani ya hiyo mipaka wanamlinda nani sasa? Kumanyoko zao waambie hivyo.
Hahaha ila kuna siku nilipishana nao siku hizi wanajeshi wanapendeza kuanzia silaha wanazobeba mpaka mavazi wanayoyavaa nikajiuliza wanaenda kwenye ubatizo au kipaimara au wanaingia msituni kuilinda mipaka ya nchi?Kama kweli huwa wanakesha basi ni wapumbavu, maana wanakesha for nothing.
Hakuna wanacholinda labda kuwalinda nyie mafisadi muendelee kuitafuna nchi bila bugudha.
Kwa kitendo chao cha kuruhusu mauaji ya raia wasio na hatia tarehe 29/October-2 November 2025, hili unaloliita jeshi lina kila sababu ya kudharauliwa na wanainchi, maana halina faida yoyote kwetu sisi wanainchi zaidi ya kututia hasara tu kwa kulipwa kodi zetu.
Eti wanakesha wanalinda mipaka, haya ndani ya hiyo mipaka wanamlinda nani sasa? Kumanyoko zao waambie hivyo.
Saafi kabisa. Hilo ndo jeshi letu. Zaidi ya hapo sijaona. Au labda kupiga laia wanaovaa nguo zinazofanana na zao. hapo napo wapo vizuri balaaaaaaaaaaaaaa... utagalagazwa kwenye matope ukitoka hapo unahema kama chura siku tano mfurulizo.Labda wa kuvunja matofali kwa kichwa na mbwembwe za kubeba vibegi vilivyojazwa upepo mgongoni..
Ndio hapo inashika namba 6 kwenye ubora..Saafi kabisa. Hilo ndo jeshi letu. Zaidi ya hapo sijaona. Au labda kupiga laia wanaovaa nguo zinazofanana na zao. hapo napo wapo vizuri balaaaaaaaaaaaaaa... utagalagazwa kwenye matope ukitoka hapo unahema kama chura siku tano mfurulizo.
Hua najiuliza hizo takwim anazitoa nani????Ndio hapo inashika namba 6 kwenye ubora..
Msemaji wao kajipimia hapoHua najiuliza hizo takwim anazitoa nani????
Aliangalia vijana wake kwa umakini jinsi wanavoyembeza vichapo mtaani, kule ulongoni na vile wanavopiga vichwa matofari... Akapata namba 6.Msemaji wao kajipimia hapo
Hahaha hio sio Military kupiga Civilians ndio upewe ubora namba 6Aliangalia vijana wake kwa umakini jinsi wanavoyembeza vichapo mtaani, kule ulongoni na vile wanavopiga vichwa matofari... Akapata namba 6.
Wewe ni mjinga. Eti wamesimama mipakani. Hivi huo ujinga unaupatia wapi?Hawa JWTZ mnaowakejeli wanakesha wamesimama mipakani kule Mumiramira Ngara na kule Ruvuma ili sisi huku mijini tulale tukikoroma!.
Hili sio jeshi la mwendokasi huwezi kuliingiza kwenye utoto wa kina Mange na wapuuzi wenzake wa kule instagram.
Tarehe 9 Desemba hakutoka nje hata sisimizi. Yule mkenya Larry akatupiga dongo akisema Watanzania wamefungiwa ndani kama panya.
Wengine tunakesha tunatomba .....wewe jwtzccm huna jipya. Subiri kupangiwa Lindo na mrilo fala weweNdio kazi wanayoifanya na lazima tuiheshimu sisi baadhi ambao tunajua wanachokifanya.
Wanakesha wao kwa ajili ya kukoroma kwetu usiku, lazima tuwaheshimu.
Mjinga wewe usiyeheshimu kazi ngumu wanayoifanya wanajeshi. Msiwe wajinga vijana, wanajeshi wanaapa kuilinda katiba, Rais Samia yupo sahihi kikatiba usitegemee wamsaliti kiongozi wao mkuu halafu waanze kumuinga mkono yule changudoa mzee wa California.Wewe ni mjinga. Eti wamesimama mipakani. Hivi huo ujinga unaupatia wapi?
Fala wewe Gen Z usiye na ufahamu wa mambo ya msingi kuhusiana na jeshi la wananchi.Wengine tunakesha tunatomba .....wewe jwtzccm huna jipya. Subiri kupangiwa Lindo na mrilo fala wewe
Ndio CDF wa Kwanza Jeshi kupoteza heshima yake mikononi mwake.......shameCDF mkunda jeshi lime mfia mikononi mwake.. limeonekana jeshi la hovyo kabisa
Kivip mkuuCDF mkunda jeshi lime mfia mikononi mwake.. limeonekana jeshi la hovyo kabisa
Hope umelala wewe mjeshi wakifala wacha police wakulindeFala wewe Gen Z usiye na ufahamu wa mambo ya msingi kuhusiana na jeshi la wananchi.
Akili kama hizi ni za vijana wengi waliouliwa siku ule, kukosa majukumu vichwani kudhani wote walioombwa kuandamana hawana kazi kama wao.