Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,439
- 145,410
Exactly!TLS walipotoka kisheria. Kimsingi halazamiki kuvunja Cabinet/kuteua PM. Ni discretion yake.
Hii tweak aliyoifanya, nadhani ni kuweka heshima na utii kwa Surbodinates wake.. 'hey im your boss now, i can fire you anytime i wish!'.
Swali la Nyani Ngabu hujailijibu badoToka 2015 katiba ndio inaifuata CCM na siyo CCM kuifuata KATIBA,
wamejikausha utadhani hawakutoa waraka!TLS walipotoka, kwa bahati mbaya kabisa wafuasi na chadema wakalibeba Kama ilivyo wakatoa waraka kupitia katibu mkuu kuwa mama Samia anatakiwa kulivunja baraza la mawaziri
Nakumbuka siku ile humu makamanda yalijitoa akili, Ila Sasa hivi yapo kimya hata hayazungumzii tena kuvunjwa Baraza.
TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14
Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...www.jamiiforums.com
Anaogopa kuvunja baraza la mtangulizi wakeMimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.
Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.
Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea.
Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki, basi kwa mujibu wa katiba baraza nalo linavunjika na waziri mkuu anakoma kuwa waziri mkuu.
Nilipovisoma hivyo vifungu vya katiba walivyokuwa wanavitumia hao watu kusema kuwa baraza zima lazima livunjwe, sikushawishika hata kidogo.
Huu ni mwendelezo wa serikali ileile aliyoiacha Rais Magufuli.
Mambo ya kuvunja baraza zima ya nini? Just keep it simple na kazi ziendelee. Tweaks za hapa na pale, hizo ni sawa.
Sasa, mbona waziri mkuu anaendelea tu na nafasi yake? Hajateuliwa upya kama walivyokuwa wanadai hao wataalamu wa sheria. Hajaapa tena. Au ameapa upya?
Je, ina maana Mama Samia kaanza utawala wake kwa kuvunja katiba?
Katiba ndio ina mkanganyikoTLS walipotoka, kwa bahati mbaya kabisa wafuasi na chadema wakalibeba Kama ilivyo wakatoa waraka kupitia katibu mkuu kuwa mama Samia anatakiwa kulivunja baraza la mawaziri
Nakumbuka siku ile humu makamanda yalijitoa akili, Ila Sasa hivi yapo kimya hata hayazungumzii tena kuvunjwa Baraza.
TLS: Kwa Mujibu wa Katiba, sasa Tanzania haina baraza la Mawaziri, Rais Samia atakiwa kuteua Waziri Mkuu ndani ya siku 14
Mnamo tarehe 19 Machi 2021, aliyekuwa Makamu wa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan, aliapishwa kuwa Raisi wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, kufuatia kifo cha Raisi Dr. John Pombe Joseph Magufuli. Kuapishwa kwake kunaibua suala la msingi la kikatiba juu ya...www.jamiiforums.com
in Tanzania Ministers work at the Pleasure of the President to whom they swore an oath. When the incumbent dies, resigns or becomes incapable of fulfilling his duties, then they are automatically released from their oath. Some like TLS would argue that with Imperial President gone, the cabinet automatically dissolves. Now at the Pleasure of the President, Ministers would again have to swear an oath of fidelity and allegiance.TLS walipotoka kisheria. Kimsingi halazamiki kuvunja Cabinet/kuteua PM. Ni discretion yake.
Hii tweak aliyoifanya, nadhani ni kuweka heshima na utii kwa Surbodinates wake.. 'hey im your boss now, i can fire you anytime i wish!'.
Katika haina mkanganyiko, nadhani wewe ndiyo unapata shida kuilewa. Halafu mwenye mamlaka ya kutafasiri vifungu vya sheria hapa nchini ni Mahakama Kuu na siyo kila mwananchi (Laymen). Ukisoma sayansi ya Sheria ya Katiba na Utawala (Constitutional & Administrative Law) utafahamu kwamba kuna jinsi ya kusoma na kutafasiri Katiba, kazi ambayo siyo kila mtu anaweza kufanya. Makamana huangalia vitu kama;Katiba ndio ina mkanganyiko
Ibara ya 51(2), ina mtaka Rais mara baada ya kushika madaraka kumteua PM.
Sasa haijaeleza je kama Rais ameshika Madaraka baada ya Rais aliyepita kufariki.
Inakuwaje.
Katiba ndio ina mkanganyiko.
Kwa hiyo mkuu hapo unaonaje.Katika haina mkanganyiko, nadhani wewe ndiyo unapata shida kuilewe. Halafu mwenye mamlaka ya kutafasiri vifungu vya sheria hapa nchini ni Mahakama Kuu na siyo kila mwananchi (Laymen). Ukisoma sayansi ya Sheria ya Katiba na Utawala (Constitutional & Administrative Law) utafahamu kwamba kuna jinsi ya kusoma na kutafasiri Katiba, kazi ambayo siyo kila mtu anaweza kufanya. Makamana huangalia vitu kama;
Sasa nadhani mnavyosema kwamba katika ina mkanganyiko nadhani mnakuwa na shida pahala: Hujaridhika na kilichofanyika nenda Mahakama Kuu kafungue kesi ya kikatiba kuomba tafasiri ya vifungu vya Katiba. Nadhani ifike mahali kazi ya sheria tuwaachie waliosomea, na kama tunataka kuwapinga basi tusilete maneno matupu bali sababu za kitaalamu ambazo zinaeleweka.
- The Rule of Congruence,
- The Rule of Consistency,
- The Rule of Consistency,
- Intention of the Parliament,
- The Principle of Lex Specialis,
Walikuwa wakali humo, povu Kama lote. Ila wote leo kimyaaaO
wamejikausha utadhani hawakutoa waraka!
Hadi Sasa hujaelewa tu?Kwa hiyo mkuu hapo unaonaje.
Katiba imefuatwa au haijafuatwa?
Nakubali mimi sina ufahamu kwenye maswala ya kisheria.