Countrywide
JF-Expert Member
- Mar 2, 2015
- 21,788
- 34,782
Kumbuka kuwa Mimi ni Chadema pia.hivi wewe chadema walikufanyaga mbaya gani mbona unawawaza sana?!
umepata anayekufaa tulia sasa achana na chadema
Hilo swali limeonyesha wewe ni laymanKama waliapa kwenye taasisi ya urais ni kwa nn waziri anapohamishwa Wizara nyingine lazima aape tena kwa Rais huyo huyo?
Hapa waliotunga Katiba hawakuwahi kufikiri hii hali itatokea
Sasa kama anaapa kwa Wizara nyingine, inakuaje asiape kwa Rais mwingine? Kuapa kwa wizara nyingine na Rais mwingine je?Hilo swali limeonyesha wewe ni layman
Waziri anavyoapa anataja wizara anayotumikia, ndio maana akihama wizara anatakiwa kuapa Tena
Kunitukana mimi kunathibitisha zaidi uelewa mdogo ulio nao. TLS hawana mamlaka ya kutafasiri Katiba, wewe (Layman) wala mimi hatuna mamlaka ya kutafasiri Katiba. Mwenye hiyo mamlaka ni MAHAKAMA KUU tu (Keep this in your head). Moja ya majukumu ya TLS ni kuishauri serikali kwenye mambo mbalimbali ya sheria, hivyo serikali inaweza kufuata huo ushauri au kuacha.
Article 56 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"A Minister or a Deputy Minister shall not assume office until he has first taken and subscribed before the President, the oath of allegiance and such other oath relating to the execution of the functions of his office as may be prescribed by an Act of Parliament"
Katiba inasema wanaapa kiapo cha utii (Oath of allegiance) kwa Raisi kama mtu (As a natural person) na siyo Raisi kama taasisi (Not as an Institution). Waziri lazima ale kiapo cha utii kwa Raisi mpya, pamoja na viapo vingine. Nadhani uko na tatizo sehemu.
Article 58 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"Ministers and Deputy Ministers shall hold office during the pleasure of the President"
Hapa katiba inamuongelea Raisi (As a natural person) na mawaziri watafanya kazi kwa matakwa yake yeye binafsi na siyo vinginevyo. Hivyo angeamua kusema Baraza la Mawaziri halina uhalali kwasababu hawajaapa kiapo cha utii kuna mtu angepinga ???
Haya maneno machache yamenithibitishia naongea na mtu asiye na ufahamu lakini anajitia ujuaji mwingi.
Katiba yetu imekuwa na mianya mingi tu, na Mahakama Kuu imesaidia sana kutoa tafasiri ili kuiziba. Rejea kesi ya mtikila ya mwaka 1994 kuhusu mgombea binafsi (Independent Candidate). Ilifahamika kabisa kwamba kwenye hili suala Katiba iko kimya (The constitution was silent) hivyo kupelekea wakina Mzee Chenge kwenda kufanya marekebisho ya haraka bungeni wakati kesi iko mahakamani, na kuongezea kifungu kisemacho mgombea wa Uraisi lazima atoke kwenye chama cha siasa. (Sasa wewe kilaza unakomaa hapa kusema Katiba haina kimya)
Haya leta matusi, mengine........
Katiba ina mkanganyiko na wao wakafuata mkanganyiko pathetic!!Katiba ndio ina mkanganyiko
Ibara ya 51(2), ina mtaka Rais mara baada ya kushika madaraka kumteua PM.
Sasa haijaeleza je kama Rais ameshika Madaraka baada ya Rais aliyepita kufariki.
Inakuwaje.
Katiba ndio ina mkanganyiko.
Hahahaha, inawezekana....Hii nchi hata ispokuwa na serikali mambo yataenda tu
Haogopi wala hatoogopa. Keshawaambia hao wanaoota 2025 wanyamaze ila kakosea kidogo kwenye umakamu, wote 2 wachumi. Angalau angeteua waziri aliyebobea katika mambo ya mazingira maana ni muhimu sana. Kuna hili suala la mabadiliko ya climate change ni very important kwa maendeleo ya Taifa lolote duniani. Tabia nchi isipodhibitiwa inasababisha madhara kama ukame, mafuriko, joto kali n.kAnaogopa kuvunja baraza la mtangulizi wake
Siyo kwamba walipotoka, wanaonyesha kuwa ni wanasheria njaa tu. Walikuwa na hoja za kisasa na kiuana harakati kuliko za kisheria.TLS walipotoka kisheria. Kimsingi halazamiki kuvunja Cabinet/kuteua PM. Ni discretion yake.
Hii tweak aliyoifanya, nadhani ni kuweka heshima na utii kwa Surbodinates wake.. 'hey im your boss now, i can fire you anytime i wish!'.
Haaahaaa Professor Malcolm umemifurahisha sana. Naona unatoa lecture kwa bush lawyerKunitukana mimi kunathibitisha zaidi uelewa mdogo ulio nao. TLS hawana mamlaka ya kutafasiri Katiba, wewe (Layman) wala mimi hatuna mamlaka ya kutafasiri Katiba. Mwenye hiyo mamlaka ni MAHAKAMA KUU tu (Keep this in your head). Moja ya majukumu ya TLS ni kuishauri serikali kwenye mambo mbalimbali ya sheria, hivyo serikali inaweza kufuata huo ushauri au kuacha.
Article 56 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"A Minister or a Deputy Minister shall not assume office until he has first taken and subscribed before the President, the oath of allegiance and such other oath relating to the execution of the functions of his office as may be prescribed by an Act of Parliament"
Katiba inasema wanaapa kiapo cha utii (Oath of allegiance) kwa Raisi kama mtu (As a natural person) na siyo Raisi kama taasisi (Not as an Institution). Waziri lazima ale kiapo cha utii kwa Raisi mpya, pamoja na viapo vingine. Nadhani uko na tatizo sehemu.
Article 58 of the Constitution of the United Republic of Tanzania says:
"Ministers and Deputy Ministers shall hold office during the pleasure of the President"
Hapa katiba inamuongelea Raisi (As a natural person) na mawaziri watafanya kazi kwa matakwa yake yeye binafsi na siyo vinginevyo. Hivyo angeamua kusema Baraza la Mawaziri halina uhalali kwasababu hawajaapa kiapo cha utii kuna mtu angepinga ???
Haya maneno machache yamenithibitishia naongea na mtu asiye na ufahamu lakini anajitia ujuaji mwingi.
Katiba yetu imekuwa na mianya mingi tu, na Mahakama Kuu imesaidia sana kutoa tafasiri ili kuiziba. Rejea kesi ya mtikila ya mwaka 1994 kuhusu mgombea binafsi (Independent Candidate). Ilifahamika kabisa kwamba kwenye hili suala Katiba iko kimya (The constitution was silent) hivyo kupelekea wakina Mzee Chenge kwenda kufanya marekebisho ya haraka bungeni wakati kesi iko mahakamani, na kuongezea kifungu kisemacho mgombea wa Uraisi lazima atoke kwenye chama cha siasa. (Sasa wewe kilaza unakomaa hapa kusema Katiba haina kimya)
Haya leta matusi, mengine........
Mimi ni mtu ninayefuata falsafa ya ‘keep it simple’.
Sikuona sababu yoyote ile ya Rais Samia kulivunja baraza lote la mawaziri na kulisuka upya.
Mabadiliko madogo kama aliyoyafanya ni ya kawaida na niliyategemea.
Lakini tuliambiwa na watu mbalimbali kuwa eti baada ya Rais Magufuli kufariki, basi kwa mujibu wa katiba baraza nalo linavunjika na waziri mkuu anakoma kuwa waziri mkuu.
Nilipovisoma hivyo vifungu vya katiba walivyokuwa wanavitumia hao watu kusema kuwa baraza zima lazima livunjwe, sikushawishika hata kidogo.
Huu ni mwendelezo wa serikali ileile aliyoiacha Rais Magufuli.
Mambo ya kuvunja baraza zima ya nini? Just keep it simple na kazi ziendelee. Tweaks za hapa na pale, hizo ni sawa.
Sasa, mbona waziri mkuu anaendelea tu na nafasi yake? Hajateuliwa upya kama walivyokuwa wanadai hao wataalamu wa sheria. Hajaapa tena. Au ameapa upya?
Je, ina maana Mama Samia kaanza utawala wake kwa kuvunja katiba?
Naunga mkono hoja yakoToka 2015 katiba ndio inaifuata CCM na siyo CCM kuifuata KATIBA,
Mods wa siku hizi ni wa ajabu sana.
Mimi leo wamenipiga stop kushiriki kwenye uzi niliouanzisha mwenyewe.
Acha bwana.Hii tweak aliyoifanya, nadhani ni kuweka heshima na utii kwa Surbodinates wake.. 'hey im your boss now, i can fire you anytime i wish!'.
Hasa hasa mpuuzi Tundu Lissu au Tototundu lazima uwe umemzoea kwa kukurupuka, kubwabwaja na kuzusha. Huwa michadema inajifanya inajua hata idadi ya mende chini ya kitanda cha kila MtanzaniaMkuu hao ndugu zetu hujawazoea tu??
Wote chadema tuUkimgusa Tundu mods watatafuta namna wakunyamazishe mfano kukupiga ban,kuunganisha uzi na nyuzi zao nk
Kumbuka kuwa Mimi ni Chadema pia.
Hapo nimekumbusha kuwa Chadema kupitia katibu mkuu waliingia Chaka kutaka baraza livunjwe
Mbowe hajulikani alipo!Vipi mkuu mwamba hajateuliwa tu bado kuwa kiongozi wa angels.