AI BRAINFULL
JF-Expert Member
- Oct 31, 2019
- 2,122
- 5,319
Duuh! Unamshauri afanye biashara ya donati?Maku ndiyo mtaji, kama vipi na wewe mduku wako utumie kama mtaji mpumbavu wewe.
jamaa anawatamani wanawake jinsi wanavyo drive products zilizotokana na shughuli hiyo. Je si bora nae aingie uko?Duuh! Unamshauri afanye biashara ya donati?
Wanaume wafujaji!Wanawake ndio waendeshaji wa magari na madungu yanayoogopwa na wanaume kwasababu ya ulaji mkubwa wa mafuta, spea adimu na garama za sevisi (wanawake wanawezaje wanaume tunashindwaje?)