Ina maana malaika wa mashabiki wa Simba sc (CHAMA) hajapata hata tuzo ya kufutia machozi?

NALIA NGWENA

JF-Expert Member
Joined
Oct 6, 2016
Posts
10,587
Reaction score
13,425
Pamoja na kuimbwa kote huko na kufikia hatua ya kubadili mfumo wa kocha kwa sababu ya mtu mmoja (Chama) lakini hata tuzo ya kufutia machozi hakuna.

Kwa kweli nimehuzunika sana.
 
Hakuna tatizo. Kama umeutambua mchango wake kwa timu inatosha, zawadi chache wachezaji wengi!
 
Pamoja na kuimbwa kote huko na kufikia hatua ya kubadili mfumo wa kocha kwa sababu ya mtu mmoja (Chama) lakini hata tuzo ya kufutia machozi hakuna.

Kwa kweli nimehuzunika sana.
Tuzo ya uchawi...
 
Kati ya watu wasiojua Mpira ni wewe

Hata haufuatilii mambo ya Mpira

Kwa Taarifa yako; kupata tuzo ya Kikosi Bora cha Msimu Huu
 
Chama kapata tuzo kibao kwenye michuano ya klabu bingwa Africa hizo tuzo za michongo zitamsaidia nini
 
Pamoja na kuimbwa kote huko na kufikia hatua ya kubadili mfumo wa kocha kwa sababu ya mtu mmoja (Chama) lakini hata tuzo ya kufutia machozi hakuna.

Kwa kweli nimehuzunika sana.
Yupo kwenye kikosi bora cha msimu, jumla Simba ina wachezaji sita

1686722000127.png
 
Aziz ki kapata tuzo ya kukunja mibukta
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akati huyu usajiri wake watu walikesha kusubiri, ilibidi awe MVP, cha ajabu wamemchoka na hawamtakiii
 
Back
Top Bottom