NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Tuzo ya uchawi...Pamoja na kuimbwa kote huko na kufikia hatua ya kubadili mfumo wa kocha kwa sababu ya mtu mmoja (Chama) lakini hata tuzo ya kufutia machozi hakuna.
Kwa kweli nimehuzunika sana.
Pamoja na kuimbwa kote huko na kufikia hatua ya kubadili mfumo wa kocha kwa sababu ya mtu mmoja (Chama) lakini hata tuzo ya kufutia machozi hakuna.
Kwa kweli nimehuzunika sana.
Yupo kwenye kikosi bora cha msimu, jumla Simba ina wachezaji sitaPamoja na kuimbwa kote huko na kufikia hatua ya kubadili mfumo wa kocha kwa sababu ya mtu mmoja (Chama) lakini hata tuzo ya kufutia machozi hakuna.
Kwa kweli nimehuzunika sana.
Amepata tuzo IPI ya CAF?Chama kapata tuzo kibao kwenye michuano ya klabu bingwa Africa hizo tuzo za michongo zitamsaidia nini
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] akati huyu usajiri wake watu walikesha kusubiri, ilibidi awe MVP, cha ajabu wamemchoka na hawamtakiiiAziz ki kapata tuzo ya kukunja mibukta