Babu Kijiwe
JF-Expert Member
- Mar 31, 2010
- 4,830
- 4,729
Mkuu mbona unamsakama kamanda languHuku wengine kina Mmawia wamejifungia usiku kucha kwenye korido za Ufipa wako busy wanatunga udaku wa kisiasa
Una akili sana Dogo, ila sasa naona kalaladuh! inawezekana halali kweli maana ukifuatilia hii thread utagundua kitu kwenye post alizo like.
4 hours ago
3 hours ago
an hour ago
Sio kwamba huwa halog out? unaweza kuwa on line lakini ukawa umelala hasa wale wanao tumia Apps.Wadau tangu kubadilishwa kwa mwonekano wa JF sijawahi kushuhudia mwanzilishi wa JF Maxence Melo akiwa offline iwe asubuhi, mchana, jioni na hata usiku wa manane.
Kipindi naandika hii post moderators wote walikuwa wamelala lakini yeye yupo online, swali langu ni hili. Je, bwana Maxence Melo hana usingizi? Haoni kuwa anadhoofisha Afya yake kwa kukesha online?
Namaliza kwa kumpongeza kwa kututengenezea hii kitu lakini aangalie namna ya kufanya ili apate muda wa kupumzika.