Kaka yake shetani
JF-Expert Member
- Feb 1, 2023
- 5,771
- 14,732
Ligi zote duniani kuna timu za Top na zilizozoea middle table. Labda itokee miujiza kama ya Leceister pale England. Hispania kuna Barcelona, Madrid, Atletico na Sevilla. Italy kuna Milan wawili, Roma na Sasa Napoli karudi. France utawakuta PSG, Marseille, Lyon. Kenya kuna Gor Mahia, FC Leopards, Sofapaka, Nzoia Sugar na Bandari. Argentina, Uganda, Australia, India, Pakistan vivyo hivyo.Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi.
Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo.
Wachezaji wakishatoka au mkataba kuisha kwenye timu hizo ndio habari yao imekwishia hapo.
Timu mbili tanzania ndio zinafanya mpaka muda wa bunge baada kuzungumzia uchumi wanaanza na timu.
Inamana hatuwezi kuwa sawa yani ukikutana na Chato Fc,Faiza foxy fc,Mashujaa na timu zengine ziwe shuhuli kwao.
Zikicheza timu mbili hizi tofauti ya kucheza timu nyengine yani mvuto ni timu mbili.
Kama wingereza,ulaya na kwengineko wangekuwa wameendekeza kama haya sizani kama tungekuwa tunafahamu vilabu vyao vyote.
kipato ndugu kipato hizo timu zingine mishahara yao ni midogoHakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi.
Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo.
Wachezaji wakishatoka au mkataba kuisha kwenye timu hizo ndio habari yao imekwishia hapo.
Timu mbili tanzania ndio zinafanya mpaka muda wa bunge baada kuzungumzia uchumi wanaanza na timu.
Inamana hatuwezi kuwa sawa yani ukikutana na Chato Fc,Faiza foxy fc,Mashujaa na timu zengine ziwe shuhuli kwao.
Zikicheza timu mbili hizi tofauti ya kucheza timu nyengine yani mvuto ni timu mbili.
Kama wingereza,ulaya na kwengineko wangekuwa wameendekeza kama haya sizani kama tungekuwa tunafahamu vilabu vyao vyote.
Hiii nlishafikiria sana sikupata jawabu sahihi, Simba na yanga zimetuchelewesha sana.Hakuna kitu kinachonifanya nikasirike kama mpira wetu huu wa bongo swala la ligi. Timu ni mbili tu simba na yanga na kila mchezaji wa ndani anatamani kufikia hapo. Wachezaji wakishatoka au mkataba kuisha kwenye timu hizo ndio habari yao imekwishia hapo. Timu mbili tanzania ndio zinafanya mpaka muda wa bunge baada kuzungumzia uchumi wanaanza na timu.
Inamana hatuwezi kuwa sawa yani ukikutana na Chato Fc,Faiza foxy fc,Mashujaa na timu zengine ziwe shuhuli kwao. Zikicheza timu mbili hizi tofauti ya kucheza timu nyengine yani mvuto ni timu mbili.
Kama Uingereza, Ulaya na kwengineko wangekuwa wameendekeza kama haya sizani kama tungekuwa tunafahamu vilabu vyao vyote.