Ina maana nimekula kinyesii cha binadamu? Nimekutwa na typhoid!

Nichumu Nibebike

JF-Expert Member
Joined
Aug 28, 2016
Posts
8,658
Reaction score
15,793
Ninashanga nimeipataje typhoid:
Tangu nije hapa Dar mwaka 2005 mpaka leo huwa nakunywa maji ya chupa tu, hata kupigia mswaki na kunawa uso ni maji ya chupa tu.
Sasa leo nimefika hospitali nikapimwa na kukutwa na typhoid na wataalam wanasema typhoid huambukizwa kwa kula kinyesi cha mgonjwa mwenye vijidudu...
Yani hapa I feel very very bad... Historically sijawahi kupimwa nikakutwa na typhoid. Leo ndio mara ya kwanza...
Sasa najiuliza nimeipataje maana wala hata sijawahi 'kupiga deki'...
 
Pole mkuu. Vipi kachumbari nayo huwa hutumii? Inawezakuwa chanzo cha kupata hill gonjwa! Kwa mazingira yetu kutia nnya kinywani ni jambo la kawaida, usijali!
 
Usiwe na mawazo finyu. Acha kutuabisha ww. W ni mtu mzima mwenye miguu 3.
Kwa akili zako unafikiri ugonjwa wako umesababishwa na kula kinyesi?
Tatizo ulikimbia shule, siwezi kukulaumu sana. Hayo ni mambo ya Form two Biology.
Ugonjwa wa typhoid kila mtu anao, na haukwepeki. Km hautumii maji au vyakula huwezi kuupata
 
Pole mkuu
Nilikutwa na typhoid pia
Ila chanzo sio kinyesi cha binadamu

Kachumbali
Matunda
Chipsi~Mishkaki
Unaoga maji ya Dawasco?


Check Kama hapo hujakamatika
 
Mkuu haujawahi kupiga deki nyumbani kwako sakafu yako haina tailisi au uvivu tuu...?

Kuna kijana hapa anatafta kazi za ndani Kama kupiga deki nakadhalika kama upo tayari tutaftane DM nikuunganishe nae.
 

Acha kunyonya ndukum nahata unapo kua unanyonya papuchi kidole utakachotumia kumchokoa huko usikiingize tena kwenye papuchi maana kitaingizako chengachenga za nnya na mwisho wa siku utayanyoya [emoji1493]
 
Mkuu haujawahi kupiga deki nyumbani kwako sakafu yako haina tailisi au uvivu tuu...?

Kuna kijana hapa anatafta kazi za ndani Kama kupiga deki nakadhalika kama upo tayari tutaftane DM nikuunganishe nae.
Tailisi ni nini.... Nijue kama mnazo na mimi nijikinge
 
Mi nilishaacha kula kula kachumbari? Mtu anachambia maji ya kwenye kakikopo halafu anaenda kukukatia kachumbari!! Kachumbari ilitakiwa ziwe zinakatwa na mashine baada ya kuoshwa kwa maji ya moto and yes umekula hiyo kitu
 
Mkuu pole sana kwa kula nyaa bila kujua.
 
Pole mkuu,jikaze ushushie na mkojo wa binadamu

Pambana na hali yako...

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…