The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Hao vibaraka Wana shida sanaDu
Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo.
Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
View attachment 3578448
Jambo la msingi ni ALLAH SAMIA kuwa na Madaraka milele.Munawapa umuhimu ambao hata hawana, ngoja tuone kama nchi itashindwa kuendeshwa miaka 5 bila wao...
Hujiulizi mama Samia kipindi alipolalamika na kulaumu TEC hadharani kwa machungu, hujiulizi why?? Wakati anauwezo wa kupiga kimya na akatimiza miaka yake akaondoka??Munawapa umuhimu ambao hata hawana, ngoja tuone kama nchi itashindwa kuendeshwa miaka 5 bila wao...
. ngoja tuone kama nchi itashindwa kuendeshwa miaka 5 bila wao...Munawapa umuhimu ambao hata hawana, ngoja tuone kama nchi itashindwa kuendeshwa miaka 5 bila wao...
Hata TEC nao wanaweza kukaa kimya na maisha yakaenda. Shida ya TEC ni kuamini kwamba wao ndo wanastahili zaidi kuliko yeyote. Hawaamini kama Rais ni Samia. Hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais. Wanafikiri tunaongoza nyumba ya mapadre. Utafikiri huwa wwaanashiriki mchakato ya uchaguzi. Hii ni nchi yenye watu millioni 65 wanawake na wanaume. Yeyote anaweza kuwa Rais. Na sasa ni zamu ya DR Samia Suluhu Hassan.Hujiulizi mama Samia kipindi alipolalamika na kulaumu TEC hadharani kwa machungu, hujiulizi why?? Wakati anauwezo wa kupiga kimya na akatimiza miaka yake akaondoka??
TEC hawawezi kukaa kimya maovu yakiendelea.Hata TEC nao wanaweza kukaa kimya na maisha yakaenda. Shida ya TEC ni kuamini kwamba wao ndo wanastahili zaidi kuliko yeyote. Hawaamini kama Rais ni Samia. Hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais. Wanafikiri tunaongoza nyumba ya mapadre. Utafikiri huwa wwaanashiriki mchakato ya uchaguzi. Hii ni nchi yenye watu millioni 65 wanawake na wanaume. Yeyote anaweza kuwa Rais. Na sasa ni zamu ya DR Samia Suluhu Hassan.
Hizi ni hisia zako au ndivyo walivyokueleza wenyewe?Hata TEC nao wanaweza kukaa kimya na maisha yakaenda. Shida ya TEC ni kuamini kwamba wao ndo wanastahili zaidi kuliko yeyote. Hawaamini kama Rais ni Samia. Hawaamini kama mwanamke anaweza kuwa Rais. Wanafikiri tunaongoza nyumba ya mapadre. Utafikiri huwa wwaanashiriki mchakato ya uchaguzi. Hii ni nchi yenye watu millioni 65 wanawake na wanaume. Yeyote anaweza kuwa Rais. Na sasa ni zamu ya DR Samia Suluhu Hassan.
We mwenyewe uliona hata mwenyekiti wa bavicha queens pale?Du
Hawa jamaa kweli naona walijeruhiwa kweli kweli na Samia hawakutaka hata kusogea kusikiliza taarifa ya uongo.
Maaskofu Catholic nawajua vizuri ni watu strict na wakali wamenyooka sana. Yale yaliyotokea kabla ya uchaguzi kwao nadhani walishakata kabisa kamba na serikali ya Samia..
View attachment 3578448