Ina maana wote tuwe walimu ?

kombo mzalendo

Senior Member
Joined
Dec 20, 2012
Posts
118
Reaction score
11
Habarini wanajamvi
HIVI HAWA HESLB wanataka watu wote waliosoma michepuo ya ARTS wote wawe walimu mana ndo facult yenye priority kwa watu wa arts.

PILI ina maana hizi kozi nyingine ni kweli hazina umuhimu kwa taifa ukitoa zile za science na UALIMU.

Nawasilisha.
 
Mwalimu ni priority coz baadae ile hela ya mkopo lazima akatwe kwenye mshahara coz hana pa kukimbilia weng wanaajiriwa tena serekalini.

Sasa mtu wa Law kwa mfano wakimpa mkopo watampatia wap kurudisha coz anweza anzisha kampuni yake su hta akwa mwanasheria wa kujitegema so serekali ni ngumu kumkata pesa dat y inkua non priority na si kwamba taifi hili lina jali sana walimu...kma kwl walikua wanawajali kma sasa kwa kuwapa mkopo basi hata mishahara ingekua mizur na isngekua ya kubabaisha kama sasa🙁🙁:what:
 

nmekuelewa mkuuu
 

haha,swali zuri
 
hata hao wa arts watakaosomea ualimu hawakupata mkopo 100% kama wenzao wa science watakaosomea ualimu pia. lakini heri - something is better than nothing. bado namuunga mkono Mwigulu kuwa vyanzo vya mikopo vipanuliwe ili mtu akope bila kujali anaenda kusomea nini ili kama serikali inataka kuwahonga hao wa priority waje wawasomeshe bure.
 
Eti ili nichukuwe education matokeo yangu ya forms six yaweje?
 
swali zuri
jibu zuri
 

haswaaa
 

mkuu poleni sana, sasa hvi hata sisi walimu wanatubania mkopo, kuna watu weng sana wa education kwe tuition fee wamepata 0 tunakoelekea co kuzuri ndugu zangu
 

Hahaha, swali zuri sana mkuu
 

Wanawapa kipaumbele Walimu ili kuwavutuia watoto wa wakulima kusoma Ualimu ili kupunguza uhaba wa Walimu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…