Ina maana wote tuwe walimu ?

Ma vp kuhusu mtu ambaye ameajiriwa ila bado anakosa mkopo wakat kwake ilikua rahis kumkata kwan tayar ameshaajiriwa
 
Ma vp kuhusu mtu ambaye ameajiriwa ila bado anakosa mkopo wakat kwake ilikua rahis kumkata kwan tayar ameshaajiriwa

Wao wanaamini kua kama umeajiriwa unakua na uwezo wa kujilipia ndo mana wanakunyima kabisa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…