Kuna dada ambaye ameolewa aliniambia ameniota subuhi asubuhi, akahisi aliongea katika ndoto to the point ya kutaja jina langu. Aliniambia hivyo mra alipofika kazini. Kumuota mtu si tatizo, pengine kitu ambacho sijakielewa ni kwanini aliniambia kwamba ameniota na kunitaja jina na akaogopa mumewe kama amesikia. Is there any mesage aliyotaka kunipa halafu ikanipita bila kuielewa?
Kama analipa kulaKwa kawaida mimi nikimuota mtu huwa asubuhi yake namlipa ujira wake kwa kazi aliyonitendea usiku,hivyo na wewe nakushauri umdai huyo dada ujira wako maana inaonesha ulimshughulikia ipasavyo katika ndoto yake.