Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
KvpIna maanisha nini watu kusalimia kwa kupishanisha mikono juu na chini?
weka picha tuone
weka picha tuone
weka picha tuone
Yaani vile unampa mkono mwenzako wakati wa kusalimia alafu kuna kale kamchezo ka kupandisha mkono juu alafu kurudi hali ya kukutanisha mikono kawaida.sio wote humu wa kusini,, fafanua mkuu
Yaani vile unampa mkono mwenzako wakati wa kusalimia alafu kuna kale kamchezo ka kupandisha mkono juu alafu kurudi hali ya kukutanisha mikono kawaida.
michezo mingine haina maana ,maybe ni burudani tuSasa hako ka mchezo ndo kama maana gani?
Mimi ni wa kusini so nafaham vizurYaani vile unampa mkono mwenzako wakati wa kusalimia alafu kuna kale kamchezo ka kupandisha mkono juu alafu kurudi hali ya kukutanisha mikono kawaida.
Sasa hako ka mchezo ndo kama maana gani?