Ina maanisha nini watu kusalimia kwa kupishanisha mikono juu na chini?

Bheshack

New Member
Joined
Jul 23, 2018
Posts
4
Reaction score
1
Ina maanisha nini watu kusalimia kwa kupishanisha mikono juu na chini?
 
Yaani vile unampa mkono mwenzako wakati wa kusalimia alafu kuna kale kamchezo ka kupandisha mkono juu alafu kurudi hali ya kukutanisha mikono kawaida.

Sasa hako ka mchezo ndo kama maana gani?
 
Mimi ni wa kusini so nafaham vizur
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…