Hivi mtu umeendazako bar
Unapata kinywaji na washkaji
Mara mmoja anaanza kukuuliza maswali juu ya mke wako
ooh Je unamwamini sana..?
ooh mkeo ni mtakatifu eeeh?
ooh mara mkeo sijui vitu ganii..?
Yaani maswali juu ya mkeo tu!!!!1
Huyu mtu utamchukuliaje??
Au uta mfanyaje?
Maana umeshamwambia mie sipendi kuulizwa maswali au kuongelea mambo ya wake zetu bar
Lakini anaendelea.....
huyo anataka bia tu, mwagizie round kam 3 hivi mfululizo, atatulia mwenyewe!
we ferds unataka umchanganye mwenziohuyo atakuwa anakuchakachulia mkeo
Ndicho kilichotokea
Leo nimepanda gari na mke wake
Mke wake mchangamfu tu
Tena kanisalimia vizuri kweli " Habari ya asubuhi Shem"
Nkamjibu "πeaceπoa shem"
kuhama tu kiwanja sio suluhisho,la mhimu zaidi ni kujua kwa nini huyo jamaa anakuulizia sana,inwezekana akawa anajiandaa kuweka mitego,hivyo unatakiwa kuendelea kum-monitor zaidi mienendo yake....kazi kwako..:nono::nono:
Atakwambia nia yake......... au anachofahamu juu ya mkeo.......... ila wakati mwingine ni vizuri kutokuchokoahuyo anataka bia tu, mwagizie round kam 3 hivi mfululizo, atatulia mwenyewe!
FP you are too innocent ......sasa ammonite nani? jamaa au mkewe?