huyo atakuwa anakuchakachulia mkeo
FP you are too innocent ......
Hivi mtu umeendazako bar
Unapata kinywaji na washkaji
Mara mmoja anaanza kukuuliza maswali juu ya mke wako
ooh Je unamwamini sana..?
ooh mkeo ni mtakatifu eeeh?
ooh mara mkeo sijui vitu ganii..?
Yaani maswali juu ya mkeo tu!!!!1
Huyu mtu utamchukuliaje??
Au uta mfanyaje?
Maana umeshamwambia mie sipendi kuulizwa maswali au kuongelea mambo ya wake zetu bar
Lakini anaendelea.....
Cha ajabu anazungumza hayo na mkewe yupo pembeni yake