Elections 2010 Ina ukweli gani kuhusu Subash Patel?

Miruko

Senior Member
Joined
Feb 8, 2008
Posts
173
Reaction score
46
Nimeikariri kwa wanabidiii

From: Mike Mande <mand...@yahoo.com>
Date: Mon, 25 Oct 2010 07:25:35 -0700 (PDT)
Local: Mon, Oct 25 2010 5:25 pm
Subject: Re: [wanabidii] Mdahalo wa wagombea
Forward | Print | Individual message | Show original | Report this message | Find messages by this author

Ndugu yangu Kibanda na wanabidii wengine nimeamua kuwapa taarifa hii muhimu baada ya safari yangu ya Ulaya na mambo niliyokutana nayo kuhusu uchaguzi wetu. Ndugu Kibanda bado hatujafanya kazi ya kutosha kuhusu hila za CCM katika uchaguzi mkuu wa 2010. Hivi mnajua kuwa ni nani aliyepewa tenda ya kuchapisha karatasi za uchaguzi mkuu. Hivi mnamjua mfanyabiashara anaitwa Subhash Patel ndiye aliyepewa hiyo tenda. Je nani anajua kuwa tenda hiyo haikutangazwa ipaswavyo na ilitolewa isivyohalali. Je munafahamu kuwa Subhash ni Mkwere wa Lugoba na mwanahisa wa Sayona pamoja na Kikwete.

Sasa nawambia hivi kuna kura milioni saba ambazo zitaongezeka katika uchaguzi huu na CCM itashinda jaribuni kufanya utafiti mtaona hiyo.
 



MMMMhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhhh! if so ni noma, i have no commet.


 
Key words:

Subhash Patel
tenda isivyohalali
Mkwere
mwanahisa wa Sayona pamoja na Kikwete.
kura milioni saba

My take
Naona hii kura milion 7 inajirudia sana lazima kuna jambo. Lakini pigeni kura kwa fujo ili akishindwa kila kituo iwe vigumu kuchakachua. Kila heri
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…