Ni samehe Bacha,yani ndo hayo inabidi nifundishwe na kungwi kabla ya ndoa,niache kuzungumza mambo ya ndani....sawa thats between me and you but do not ask that.:embarrassed:
kwani michelle nikiulizia hiyo kitu,
huwezi kabisa kunionea huruma mama?
Karibu sana,hakuna anayependa kubadili kama anapata taste ambazo ndo anazifuata huko nje so kama unaweza kunipa zote mwenywe,mi ntafurahi sana.Ila zisiwe kinyume na maumbile,manake wanaume wa siku hizi bwana???????????