Inabidi tuwatambue na tuwape umuhimu watu wetu muhimu

MduduAli

JF-Expert Member
Joined
Jun 21, 2024
Posts
551
Reaction score
968
Habari wakuu

Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa

Just imagine kuna mtu aligundua wali nazi, chapati mbili na supu, ugali dagaa vitu ambavyo ulaya/Uingereza havipo lakini mpaka sasa hatu wafahamu watu hao.

Tuwape umuhimu watu wetu wanao paswa kupewa umuhimu tusichukuliane poa
 
Mbowe amaongoza chama imara zaidi cha upinzani Tanzania, atambulike kitaifa.
 
Habari wakuu

Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa

Just imagine kuna mtu aligundua wali nazi, chapati mbili na supu, ugali dagaa vitu ambavyo ulaya/Uingereza havipo lakini mpaka sasa hatu wafahamu watu hao.

Tuwape umuhimu watu wetu wanao paswa kupewa umuhimu tusichukuliane poa
Hivyo ulivyoorodheshwa si uvumbuzi wa mtu bali jamii kwa ujumla. Kesho, utatwambia tuwatambue hata waliogundua dini.
 
Peleka jukwaa la mizaha/jokes..
Kila siku unakula wali unamjua aliye gundua hilo diko ni nani? Lazima ujue asili

Kuna picha moja ila ni joke inamuonyesha vasco dagama anapelekwa na wachaga kwenda kugundua mlima Kilimanjaro 😅
 
Hivyo ulivyoorodheshwa si uvumbuzi wa mtu bali jamii kwa ujumla. Kesho, utatwambia tuwatambue hata waliogundua dini.
Hicho sio ninacho hofia Hofu yangu ni siku itokee Mzungu aseme wali nazi, kiporo cha wali na maharage aligundua yeye
 
Back
Top Bottom