🙌🏿🙌🏿😂😂😂Na kuna mtu aligundua kifo cha mende
Mbowe amaongoza chama imara zaidi cha upinzani Tanzania, atambulike kitaifa.Habari wakuu
Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa
Just imagine kuna mtu aligundua wali nazi, chapati mbili na supu, ugali dagaa vitu ambavyo ulaya/Uingereza havipo lakini mpaka sasa hatu wafahamu watu hao.
Tuwape umuhimu watu wetu wanao paswa kupewa umuhimu tusichukuliane poa
Hivyo ulivyoorodheshwa si uvumbuzi wa mtu bali jamii kwa ujumla. Kesho, utatwambia tuwatambue hata waliogundua dini.Habari wakuu
Kwenye historia kwenye vitabu tumewasoma watu mashughuri, wagunduzi wa vitu mbali mbali lakini cha ajabu kuna watu wa muhimu sana hatu wapi umuhimu uliopaswa kupewa
Just imagine kuna mtu aligundua wali nazi, chapati mbili na supu, ugali dagaa vitu ambavyo ulaya/Uingereza havipo lakini mpaka sasa hatu wafahamu watu hao.
Tuwape umuhimu watu wetu wanao paswa kupewa umuhimu tusichukuliane poa
AiseeAlafu kuna huyo wa pilau mixa nyama na kachumbali tuna mchukulia poa tu