Kwa matokeo ya leo ya makolo maana yake tukishinda kesho tupo juu kwa alama nane.
Imagine being us,. Na zitakuwa zimebaki games saba tu, kiufupi kwenye hizo mechi saba itabidi tufungwe mechi tatu ndio madunduka washinde ubingwa.
Labda tumerogwa, yanga ipi ipoteze mechi tatu? Hii hii ya gsm na professor nabi?
Yes: : inatubidi kesho tucheze kama champion wa nchi hii ili kuupalilia ubingwa wetu , ya makolo tuwaachie wenyew na mazingaombwe yao