Inachosha kutengeneza mafolder mengi kwa file moja, software gani nzuri ya kubandika tags kwenye mafaili ili kuondoa usumbufu wa kutengeneza folders

Inachosha kutengeneza mafolder mengi kwa file moja, software gani nzuri ya kubandika tags kwenye mafaili ili kuondoa usumbufu wa kutengeneza folders

NetMaster

JF-Expert Member
Joined
Sep 12, 2022
Posts
1,454
Reaction score
4,925
Naweza kuwa na faili muziki, video au pdf ya mashairi mfano wimbo wa zali la mentali wa professor jay, hapa inabidi niuweke kwenye mafolder kama:
  • Bongo flava,
  • Tanzania
  • 2000s
  • Bongo Records
  • Professor Jay
  • Juma Nature
Kuna software ambayo naweza kupachika tags kirahisi, yani nikilikuta faili nachagua nembo za kuli organize kuliko kuanza kulicopy kwenye mafolder ?
 
Nimegoogle nimepata hio sijaijaribu lakini
 
Back
Top Bottom