kimara Kimara
Member
- Jul 7, 2024
- 80
- 173
Trip 10 mkuu.Habari za muda Huu wapendwa,
Kwa wale wazoefu wa ujenzi naomba kujua inaweza kugharimu mawe tripu ngapi kumaliza ujenzi wa Msingi wa Vyumba viwili, master bedroom moja, Sitting Room, dining, jiko na stoo.
Naomba kujuza kwa yoyote mwenye uzoefu maana nilita fundi akanipigia hesabu na kuniambia itagarimu tripu 16 ? Naomba kujuzwa maana ndio mara yangu ya kwanza kujenga.
Asante sana, Kwahy ni vyema ujenge msingi wa matofali ? Na je msingi wa mawe, na msingi wa tofali upi ni imara ?Trip 10 mkuu.
Lakini hayo mawe yana changamoto ya ku shake na kusababisha mipasuko.
Ujenzi wa kisasa ni tofari block latio kali za kulaza(kwenye msingi).
Wengine hata kwenye flaw hawagusi mawe, ni kifusi, mchanga na wananalizia kwa zege la kokoto.
Mawe yamekuwa ghali sana bila sababu, nadhani kwa ajili ya soko la ujenzi wa miundo mbinu ya kiserikali.
Chunguza hata majengo ya kiserikali, huwa hawaanzi kujenga msingi kwa mawe.
Msingi wa matofari ni imara sana, yanalazwa kwa kozi zote za msingi.Asante sana, Kwahy ni vyema ujenge msingi wa matofali ? Na je msingi wa mawe, na msingi wa tofali upi ni imara ?
Acha uoga boss anza na kiasi ulichonacho.