Behind the camera
JF-Expert Member
- Jan 12, 2019
- 315
- 756
Showoff una maana ganiVyema ukajua aina ya mchezo unaopendelea kujifunza, mbali na kuweka mwili fiti kuna tamaduni ya kila mchezo kulingana na Nchi yenye asili ya mchezo. Mimi niliishia Yellow belt kwenye KARATE, jambo jingine uwe na moyo mgumu mkuu hakuna show-off huko ukifanya mchezo utaacha siku ya pili tu.
Kung Fu- CHINA
Taekwondo- KOREA
Karate-JAPAN
Judo-JAPAN
Hiyo Krav Maga ni hatari sana, kwa asilimia kubwa inafundisha kuua tu, na hata mwanafunzi awapi mafunzoni anatakiwa kuwa makini sana.
Haifundishi kuua. Inafundisha kushambulia haraka haraka na kutokomeaHiyo Krav Maga ni hatari sana, kwa asilimia kubwa inafundisha kuua tu, na hata mwanafunzi awapi mafunzoni anatakiwa kuwa makini sana.
Boxing ni bonge moja la sanaa.Mchezo mzuri wa Ngumi ni Boxing tu ule ndo una uhalisia zaidi
DuuuuuhhHii kitu ilinichukua miaka10 na niko mafunzo bado
WokeeeySelf defense: Gujuruu
Ungetuma link ya huo Uzi ingekuwa powa mkuu.. tupate fwaidaKuna uzi unasimulia jamaa anasema alijifunza Kung Fu hadi kuna babu wa kichina alikua anakuja usingizi kumpa mafunzo.