Inachukua muda gani via vya uzazi kurudia hali yake baada ya mwanamke kujifungua?

Inachukua muda gani via vya uzazi kurudia hali yake baada ya mwanamke kujifungua?

Jabu Fredrich

Member
Joined
Sep 13, 2017
Posts
46
Reaction score
36
Habari za wakati huu wana_Jf! Kwa kawaida mwanamke anapopitia hatua ya uzazi sehemu nyeti hutanuka ili kupitisha kiumbe,Je huchukua muda gani hadi kujirudi kama awali baada ya kujifungua? Na huwa zinarudi automatic au kuna njia ya kuwezesha hill? Asanteh!
 
Mkuuu uke ni like Mpira fulan... Kwaiyo unatanuka ma kurudi .


Usijali ,,,mwache mama atulie,, mwili unarudi ktk hali yake polepole ....lkn pia inasaidia kuepuka mimba za mfululizo.


Kitulize.
 
Huwa zinarudi automatically. Japo sio size ile ya zamani
 
MKUU ANA HARAKA YA KUAMSHA DUDE WAKATI MKEWE KAJIFUNGUA JANA.VUMILIA MKUU HAYA MAMBO YAPO TU.
 
Hongera sasa utafurahia utamu wa mwanamke, maana mwanamke akizaa huwa wanakuwa wasweet sana na hupendeza zaidi.

Kuhusu maungo wastani wa siku 40 hadi miezi 3 anakua vizuri japo si kama awali.
 
vipi chifu ime tanuka sana adi unajihisi unakibamia pole ndugu yangu ndo hali ilivo chifu hairudi tena io ngoma ndo isha kuwa makubwaku we ogelea tu ivo ivo kibaharia hamna namna
 
Back
Top Bottom