Tetesi: Inadaiwa aliyemtolea Nape bastola aonekana akisindikiza msafara wa viongozi CHADEMA kwenda mahabusu

Jiwe anajua kila kitu maana ndio anayesuka mipango yote hii ikiwa pamoja na ile ya kumiminia mbunge risasi mchana kweupe.

Lakini siku yao inakuja.
 
Wewe unamtafta wa nn?! Je kosa gn alitenda?! Wkt mwingine muwe mnajaribu kukaa kimya ili kuuficha ujinga wenu.
 
WATU WASIOJULIKANA NI CHADEMA,WALIOKUWA WANAENDESHA MAUAJI KIBITI PIA NI CHADEMA.KIPO KIKOSI MAALUMU CHA MAUAJI ILI KUICHAFUA NA KUISINGIZIA SERIKALI YA CCM.
 

si useme tu Mange Kimambi ndie kasema.
 
Ni hatari sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
" Nilisema ni Polisi ila sikusema ni Askari " - Mwigulu Nchemba, akihojiwa Clouds 360.
 
" Nilisema ni Polisi ila sikusema ni Askari " - Mwigulu Nchemba, akihojiwa Clouds 360.
Umeiweka kinyume Alisema "nilisema siyo polisi sikusema siyo askari" Akiwa na maana kwamba, yeye kama waziri wa mambo ya ndani, alikua anahusika na POLISI. Sasa yule hakuwa polisi bali alikua askari wa majeshi mengine ambapo wahusika wangetakiwa kudeal nalo.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huna hakika na ulichoandika ndiyo maana umeandika kishakashaka


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Day dreaming

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Zamu yao tayari mzee
 
Mwigulu tukianzia hapa huko nchi nyingine Hanakazi....unganisha na Ntwala
 
[emoji38][emoji38][emoji38]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…