Pre GE2025 Inadaiwa Mbunge wa Ilemela anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda, dakika za jioni kuelekea uchaguzi mkuu

Pre GE2025 Inadaiwa Mbunge wa Ilemela anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda, dakika za jioni kuelekea uchaguzi mkuu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)

ngara23

JF-Expert Member
Joined
Aug 31, 2019
Posts
9,091
Reaction score
21,087
Muda wote akiwa mbunge na waziri wa Ardhi wala hakujisumbua kujishughulisha na maendeleo ya Jimbo lake

Sasa dakika za jioni anagawa TV kwenye vijiwe vya kahawa na bodaboda.

Jimbo la Ilemela Lina changamoto nyingi, zinahitaji barabara za lami, majina umeme wa uhakika, huduma nzuri za afya na elimu, ajira za vijana, majengo mazuri ya masoko n.k ambayo haya yote yanapungua au sehemu zingine hayapo kabisa

Wananchi hawahitaji TV, wanavyo makwao wanazama nyumbani kwao , wanahitaji huduma ambao alijisahau kuzitetea.

Mtanganyika wa Sasa sio mjinga, kumpumbaza na TV, vitenge na zawadi ili wawape kura

Kwa mbinu hii naona amekwama, atafute mbinu mbadala
 
Back
Top Bottom