Inadaiwa mchezaji Cloutus Chama anaweza kurudi Simba

Kwani nyie hamna jezi au timu yenu imeshuka ubora kaamua kuwatema kiaina, kama anaweza angesajili wachezaji wenye ubora baada ya kuwauza kina chama, alishindwa nini? Unauza wachezaji b.2.5 unaenda kununua wachezaji wa mafungu wa million Mia Mia, kwanini akutumia iyo b.2 kununua wachezaji 3 au 2 wenye ubora wa juu mpaka akasajili wachezaji 12 wote walikuwa wa nini?
 
Huyo Chama ni mchezaji wa kawaida sana na ndio maana anakosa namba huko ila watanzania ndivyo walivyo kutoa sifa hewa ni "Hallmark".
 
Kisheria vipengere vya mkataba haviwezi kubakia vile vile wakati, yeye ndiye anataka kuvunja mkataba, kama ingekuwa timu yake ndio wanamuuza sawa, lakini ni yeye ndio anataka, hivyo ,
 
Makubaliano na Jangwani Tayari Mkuu Au hufuatilii Mitandao kujua kinaendelea nini?
Tayari Kila Kitu kimekamilika na January anatua jangwani! Hawezi kurudi Simba Kaka
Wewe ndio mke wake mpya baada ya kufariki yule?
 
Hawa wachezaj tunawapamba Sana ila Hamna kitu chochote ndomana huko panaelekea kuwashinda
 
Hiyo mikataba nyie huwa munaionea wapi? Tupieni basi hapa nasi tuone,maana imekuwa story tu mkataba. Leteni kama ushahidi wa hivyo upo kwenye mikataba yao.
 
Huyu huyu shaffih dauda alisema Chama hawezi kurudi ligi ya bongo anamikataba mrefu RS Berkane. Leo huyuhuyu na page yake hii hii anapost kuwa chama anarudi Bongo???? KHUMANYOKHOOOOO ZAKE!
Umeumia sana msukule ww
Yule injinia aliwakusanya alijua nyie ni oya oya mkaamiji kweli January atatua utopoloni

Shaiffih dauda mitano tena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…