Tetesi: Inadaiwa Newala washaandaa watu wao kuwachomeka nafasi za utendaji mitaa

Tetesi: Inadaiwa Newala washaandaa watu wao kuwachomeka nafasi za utendaji mitaa

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Nimeambiwa Newala wameandaa watu wao wawachomeke kwenye utendaji wa vijiji nafasi walotangaza

Nafasi 14 za utendaji waloitwa kwenye usaili ni watu 999

Wazee wa connection washafanya yao mtu anamtafuta katibu tawala eti amsaidie ndugu yake apate hiyo nafasi ya utendaji wa kijiji

Hii halmashauri ina matatizo sana, mkurugenzi wa Newala, na katibu tawala be carefully kama kuna mtu anajuana na mkurugenzi wa mji wa Newala au mliopo karibu na katibu tawala wa wilaya ya Newala wapeni taarifa wawe makini na kuna watu wanawatuma watu wao waombe wachomekwe ili wapite hizo nafasi wakati nafasi ni 14 na waloomba ni 999

Mkurugenzi na katibu tawala kuweni makini mmewekewa mtego kuna watu washawafata au watawafuata eti muwasaidie kuwachomeka watu wao kwenye hizo nafasi hapo itakula kwenu kuweni makini!
 
Back
Top Bottom