Inadaiwa wayne rooney amepoteza nguvu za kiume baada ya kupandikiza nywele bandia

Inadaiwa wayne rooney amepoteza nguvu za kiume baada ya kupandikiza nywele bandia

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Mchezaji nyota wa timu ya Manchester United na England, Wayne Rooney anadaiwa alipoteza nguvu zake za kiume baada ya upandikizaji wa nywele mwaka jana


Kituo cha runinga cha KTN cha nchini Kenya, kimedai kuwa Rooney amekuwa akimsumbua doctor wake kumtaka amrudishie pesa zake baada ya kupata madhara ya kupoteza nguvu za kiume kutokana na kupandikizwa nywele bandia kwenye kipara chake,hali iliyopelekea kusababisha mgogoro mkubwa ndani ya familia ya mchezaji huyo.
 
Teeeh ndo maana hafungi magoli siku hizi
 
Back
Top Bottom