Inaelekea tulipigwa Zombwe.......Watanzania Uchumi Tumeukalia!!

Inaelekea tulipigwa Zombwe.......Watanzania Uchumi Tumeukalia!!

The Khoisan

JF-Expert Member
Joined
Jun 5, 2007
Posts
16,434
Reaction score
14,547
Kweny Travel and Tourism index 2013, Tanzania pamoja na kuwa na vivutio vingi vya utalii haiko hata kweny top 10 Africa. Mpaka Rwanda wanatuzidi ............... sijui wana nini kule zaidi ya Gorilla?? Kama kwaida Majirani zetu wametupiga bao!!!

1. Seychelles
2. Mauritius
3. South Africa
4. Cape Verde
5. Namibia
6. Gambia
7. Botswana
8. Kenya
9. Rwanda
10. Senegal

Source: World Economic Forum
 
Waziri muhusika yuko bize na kushikana mashati na meya wake Bukoba badala ya kubuni mipango kabambe ya kutangaza mali asili na vivutio vya nchi yetu.............pamoja na kua na vivutio vingi, kama havitangazwi nani atajua. Hao ndio mawaziri wa serikali ya JK,kazi ni kuuza sura tu kama ilivyo kwa boss wao.
 
Problems cannot be solved with the same level as being created.
 
Miaka michache iliyopita ni nchi chache sana duniani zilizokuwa na big six(simba..tembo..twiga..kiboko..kifaru..nyati)sisi tulikuwa ni miongoni mwa nchi chache sana duniani tuliokuwanavyo..tatizo kubwa hawa wanyama tulianza kuwauza hovyo leo hii ata sehemu jangwa kama qatar na dubai unawaona wamefungiwa kwenye zoo sasa nani atakuja kuangalia hao wanyama tz wakati kila sehemu wapo ???
Pili siku hizi kuna modern tourism watu wanajenga vitu ili kuvutia utalii...mfano dubai kuna ghorofa refu kuliko yote duniani linaitwa Burj khalifa lina ghorofa 164..wamefunga lift za kisasa ambazo zina kasi ya ajabu kwenye inatumia dk moja na nusu tu kufika juu..kiingilio cha kupanda ni tsh 50000 na idadi ya watu wanaopanda kwa siku ni wengi kuliko watalii wanaotembelea mikumi park kwa mwezi..inabidi ufanye booking online ili upate nafasi..
Nchi kama seychelles wamejenga vivutio vingi sana pamoja na hoteli nzuri kwa ajiri ya watalii..sisi bado tunategemea mbuga wakati wanyama wanauzwa kila siku..hili ndio tatizo..
Hoteli zetu wafanyakazi wengi ni wageni hivyo watalii wanapowauliza ni rahisi sana kuwaeleza utalii wa kwao kenya au botswana maana ndio wanaoujua zaidi...hivyo huu wa kwetu unabaki chini
 
Du hata Rwanda wanatuzid, hatari mwanaume. Anyway mi kwa Rwanda naona wanaenda kuangalia makaburi ya mauaji ya kimbari ndo maana wanatuzi lakini kwa utalii kama utali Rwanda bado saaaaaaaaaaaaana
 
Back
Top Bottom