Waziri muhusika yuko bize na kushikana mashati na meya wake Bukoba badala ya kubuni mipango kabambe ya kutangaza mali asili na vivutio vya nchi yetu.............pamoja na kua na vivutio vingi, kama havitangazwi nani atajua. Hao ndio mawaziri wa serikali ya JK,kazi ni kuuza sura tu kama ilivyo kwa boss wao.