BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,989
- 32,649
Hongera sana,Mungu aendelee kukusimamiaMh yaani Mungu tu anatulinda, wangu nilimpa maziwa ya ngombe tangu siku ya pili kuzaliwa na ikaendelea hivyo, sahiv ana miez mitatu anakunywa na uji, sijui lakini tangu amezaliwa kaumwa mafua tu mara moja. Namshukuru Mungu tu
Ngoja na mm wng nifanye hivyo nilikua naogopa kua yana madharaWakwangu alianza kunywa maziwa ya ngombe akiwa na siku 2 na uji alianza akiwa na mwezi mmoja.yupo safi kiafya na akili pia yupo njema darasani.nilianza kumpa maziwa baada yakulia sna tukampa maji bdo mambo ni yaleyale ndpo tulipoamwazishia maziwa ya ngombe.nabaada ya mwez uji mlaani wa lishe uliyopikwa na maziwa ukichanganywa na maji kidogo
Naomba jina la app.Ukizingatia lishe ya mtoto. Mtoto atukua kwa raha. Kuna wengine mwezi mmoja anampa uji. Wewe mtoto mnyonyeshe mpaka miezi sita tu. Usimpe chochote. Na ikifika miezi 6 sio kumpa maziwa na uji wa ulezi. Chukua blenda na vyakula kama njegere, ndizi, samaki, carrot, parachichi. Mtengenezee chakula. Kuna app za kukuonesha mtoto stage ya kukua na vyakula anavyostahili kula download au subscribe email ndo maana ya smartfone. Ukizingatia lishe mtoto wako atakua kwa raha.
Kama maziwa ya mama hayatoshi kuna maziwa spesho ya mtoto.