🚮 🚮Aidha wote tunajua kuwa baada ya Lissu kushabuliwa alipelekwa hospital na viongozi wa serikali
Jiwe alipokuwa akisema "...niombeeni" alikuwa Chadema? Na mbona hamkukataa?Maombi yana tibu mgonjwa? yaani watu waacha wafanye jambo la kijinga kisa ni CHADEMA?!
Wauaji mtaendelea kujianika tuHoja inajegwa hapa kuwa TIGO ilifatilia na kuisaidia serikali kujua uelekeo na mahali Mh. Lissu alipokuwa...
Mungu si AthumaniMkuu kwenye hili hamtapata baraka za Mungu
Kwamba ilikua haijulikani yupo bungeni? Muda wa kuisha kikao? Gari yake pia ilikua haijulikani?Kwahiyo??? Unabishana na mahakama ya mzungu au?
Labda kama mungu ni babu yakoMkuu kwenye hili hamtapata baraka za Mungu
Wamiliki wa tigo naona mmekuja kwa kasi. Si muwaache wajitete wenyewe huko London hapa hata judge wa His Majest the court of London hakusomiKwamba ilikua haijulikani yupo bungeni? Muda wa kuisha kikao? Gari yake pia ilikua haijulikani?
Hii story nadhani pengine ilikua na maana nyingine si hivi ambavyo tumeletewa. Lissu yupo bungeni wote wanaona, gari yake inajulikana, anapoishi panajulikana. Sasa hapo tigo inaingiaje?
Unaona akili yako ilivyo?...ndio maana ulikimbiwa bwashee....Kwamba ilikua haijulikani yupo bungeni? Muda wa kuisha kikao? Gari yake pia ilikua haijulikani?
Hii story nadhani pengine ilikua na maana nyingine si hivi ambavyo tumeletewa. Lissu yupo bungeni wote wanaona, gari yake inajulikana, anapoishi panajulikana. Sasa hapo tigo inaingiaje?
Waulize mahakama ya wazungu.Kwamba ilikua haijulikani yupo bungeni? Muda wa kuisha kikao? Gari yake pia ilikua haijulikani?
Hii story nadhani pengine ilikua na maana nyingine si hivi ambavyo tumeletewa. Lissu yupo bungeni wote wanaona, gari yake inajulikana, anapoishi panajulikana. Sasa hapo tigo inaingiaje?
Hakuanza kufuatilia akiwa Dom. Alishatoa angalizo akiwa Dar juu ya gari kufuata kila aendapo. Labda upenyo wa kumshambulia haukupatikana kote huko ila Dom.Hoja inajegwa hapa kuwa TIGO ilifatilia na kuisaidia serikali kujua uelekeo na mahali Mh. Lissu alipokuwa.
Wakati Lissu amajenga hoja kuwa alishambuliwa akiwa mbuge, wakati wa vikao vya bunge, kwenye makazi ya viongozi waandamizi wa serikali.
Aidha wote tunajua kuwa baada ya Lissu kushabuliwa alipelekwa hospital na viongozi wa serikali, akapewa huduma ya kwanza na ya uokozi na madaktari wa serikali.
PIA SOMA
- Kupigwa risasi kwa Tundu Lissu: Kampuni ya simu ya Tigo yadaiwa ilivujisha mawasiliano yake kwa mamlaka
Hata walinzi ambao waliokuwa hawatumii silaha, (bunduki), waliondolewa kwenye eneo la tukio, aliye waondoa na kuwapangia zamu hajulikani piaHoja inajegwa hapa kuwa TIGO ilifatilia na kuisaidia serikali kujua uelekeo na mahali Mh. Lissu alipokuwa.